Natafuta kazi

Natafuta kazi

fihavango

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Habari zenu wana jamii, napenda kuwataarifu kuwa natafuta Kazi yoyote inayohusiana na IT ,, ninaujuz wa kutosha na pia ninauzoefu wa kutosha pia nimtaalam wa Database administrator ,programming language like php,Java ,c++, vb. pia naweza kutengeza website mbalimbali,
Sahiv nimemaliza chuo Nipo mtaani,.
Kwa yoyote ambaye anapenda tufanye Kazi tuwasiliane kwa no zifatazo
Name Titus

0714667500
Email titusfihavango@yahoo.com


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom