Natafuta kazi

Natafuta kazi

only girl

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Salam kwenu wana JF

Natafuta kazi iwe ya stationary, sekretary au reception . Nina uzoefu wa miaka (3)
Au hata ya kufanya usafi maofisini au kuuza duka lolote me nafanya bora nipate rizki ilio halali.

Nategemea ushirikiano wenu
 
Elimu yakoni kiwango gani jaribu kuaply tanesco wametoa nafasi za watu wa usafi pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom