natafuta kazi

natafuta kazi

Viicky Map

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
38
Reaction score
5
wanajamvi habarini, mm ni msichana niliemaliza bachelor of arts in public relations and marketing natafuta kazi yeyote ya uhalali ht km ni hotel kubwa as a receptionist nipo tyr kuliko kuendelea kukaa bure nyumbani, its serious jamani nipo mwanza ilemela
 
Nenda zoomtanzania kuna kazi kibao za hotel ni wewe tu. Tengeneza cv yako iwe imesimama hakika utapata kazi.
Kumbuka kuwa hakuna atakayekubeba ni wewe mwenyewe unatakiwa u fight
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom