Habari zenu wanajamvi? ninatafuta kazi ya research data collector nina uzoefu wa miaka mitatu, najua Quastionaire vizuri,najua kutumia umpc,tablets na Gps vizuri na nina cheti cha RTI International na ORB International.Elimu yangu ni kitado cha sita.