Alamasroad
Member
- Jun 5, 2009
- 44
- 0
hajaomba ushauri wa kwenda kusomanenda kasome degree wewe !!!!!
mpe kazi basi kama ni rahisi kupatikana kwa hivyo vyeti vyake vya Ms-Office!!!hajaomba ushauri wa kwenda kusoma
huo sio ustaarabu jamani! anatafuta kazi. na hii ni JF,kwahiyo kama kama kazi inayolingana na taaluma yake zipo basi tumjulishe na sio vinginevyo.Nenda kasome degree wewe !!!!!
ni kweli journal pape,kazi ianyolingana na qualification zake basi na aambiwe ila asitengwe kwa majibu hayo apewayohuo sio ustaarabu jamani! anatafuta kazi. na hii ni JF,kwahiyo kama kama kazi inayolingana na taaluma yake zipo basi tumjulishe na sio vinginevyo.
mpe kazi basi kama ni rahisi kupatikana kwa hivyo vyeti vyake vya ms-office!!!
Ngugu zangu natafuta kazi ili nipate hiyo pesa yakulipia masomo. Nafahamu natakiwa kusoma zaidi ila natafuta kazi itakayo niwezesha kusoma. natamani siku sana kusoma ila naijika kuwa na pesa, naomaba mniwezeshe kupata inayolingana na taaluma na kiwango cha elimu yangu ili ni some.
VIMITEGO "Mwenda kwao haogoipi Giza"
sina certification ya CCNA ila ninamefanya A+ certification pia natumai kufanay muda si mfupi CCNA certification nikipata mshikoUna CCNA Certification?
Hapana sina ndugu yangu.Una CCNA Certification?
mpe kazi basi kama ni rahisi kupatikana kwa hivyo vyeti vyake vya Ms-Office!!!
Kazi za IT help desk zitakufaa, kazana kutafuta mawizarani,kwenye mabank, na vyuoni. Kuna vyuo mbali na kutumia wanafunzi wanaajiri full time employee for support. Piga mzigo huku unatafuta degree waswahili wanasema bora kuchelewa kuliko kutofika kabisa.