F fred45 Member Joined Jan 23, 2013 Posts 25 Reaction score 0 Apr 10, 2013 #1 Mim nikijana nimemaliza diplma ya bankng and finance pale IFM, ila bdo sijapata kazi, natafut kazi, ata ya part time, nipo dar
Mim nikijana nimemaliza diplma ya bankng and finance pale IFM, ila bdo sijapata kazi, natafut kazi, ata ya part time, nipo dar
D Dakile Member Joined Feb 15, 2013 Posts 54 Reaction score 10 Apr 11, 2013 #2 Dah,mie nina masterz cjapata kazi! Anyway try ths peleka cv na barua yako makao makuu ya benk zote unazozijua!
Dah,mie nina masterz cjapata kazi! Anyway try ths peleka cv na barua yako makao makuu ya benk zote unazozijua!