Natafuta kazi

Natafuta kazi

claritamimi

Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Habari wapenda
mimi ni msichana nmemaliza chuo mwaka 2011 nna degreee ya PUBLIC RELATIONS AND MARKETING
nmetafuta sana kazi bila mafanikio, kwa yeyote anaeweza kunisaidia ntashukuru sana..
ila npo tayari kufanya kazi yoyote inayoelkeana na course nliyosomea
here is ma email claritacharo@yahoo.com
thank you in advance
 
Pole mwaya!jaribu kuendelea kusambaza cv yako kwenye makampuni na asasi zinazoendana na taaluma yako.Usisahau ibada dada angu!
 
Habari wapenda
mimi ni msichana nmemaliza chuo mwaka 2011 nna degreee ya PUBLIC RELATIONS AND MARKETING
nmetafuta sana kazi bila mafanikio, kwa yeyote anaeweza kunisaidia ntashukuru sana..
ila npo tayari kufanya kazi yoyote inayoelkeana na course nliyosomea
here is ma email claritacharo@yahoo.com
thank you in advance

Fuata hii post nadhani inakuhusu kama haujaiona https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/403999-msichana-wa-marketing-anaitajika.html
 
endelea kutuma application..usisononee coz kuna watu wamegraduate since 2008 hawajawah fanya kazi popote serios...so you still have time ya kutuma applications,kuomba kujitolea ofc tofauti ili upate xperience na xposure
 
thanx wapenda lakn hata hzo za kujitolea sipati i dn knw why na nmeomba sehem nyng....ila cjakata tamaaa bado naendelea kutumaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom