Flycatcher
Member
- Jan 10, 2013
- 7
- 0
Mimi nina umri wa miaka 30, nina leseni class C FLAT ninauwezo wa kuendesha kila aina ya gari. Pia nina PSV CERTIFICATE ya VETA. Kwa mwenye nafasi tujulishane
Ngoja Wahusika Waje!
Unaweza kuanza hata kwa bodaboda brother kuliko kukaa idle, hatimaye daladala, then baadae fuso, scania etc, kama utaamua kukaa tu ukijisifia kuwa una class C hutak boda au hiace kwa maisha ya sasa utateseka sana brother, all the best
oooh pole sana brother, basi tuombe uzima but usiache kwanza huko kwa wachina mpaka uhakika wa kazi nyingine utakapopatikana, unajua bora uvumilie hako kaposho wadau ambao watafanikiwa kukusaidia basi wafanye hivyo.all the best
Unaweza kuanza hata kwa
bodaboda brother kuliko kukaa idle, hatimaye daladala, then baadae fuso,
scania etc, kama utaamua kukaa tu ukijisifia kuwa una class C hutak
boda au hiace kwa maisha ya sasa utateseka sana brother, all the
best
stress creators, sio lazima aanzie huko bwana, anaweza fanikiwa malengo alo nayo hata bila kuanzia mlo longo huo, jipe moyo kaka na usijarbu kukata tamaa, zungukia mashirika mbalimbali acha cv yako, haijalishi wametangaza ajira au lah we peleka c.v, trust me utapata kazi