mimi ni kijana ninayependa kujishughulisha, natafuta kazi yoyote ili niweze kujisogeza. nina elimu ya kidato cha nne, na kwasasa nipo collage. ningependa kufanya kazi yoyote ntakayopata mda ambao namaliza vipindi vyangu vya chuo, saa kumi na moja jioni.