Natafuta kazi

Natafuta kazi

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,190
Reaction score
1,217
Habari zenu wadau? Kuna binti anatafuta kazi, ana miaka 22. Anasoma chuo ila haitaathiri kazi atayopata. Ni mtu smart, ujuzi wa lugha upo, anaweza kutumia computer vizuri. Anaishi Goba kwahiyo kazi lazima iwe Dar es salaam

NAWASILISHA.

PM me if serious au 0761 700365
 
Siku hizi kazi za kutafutiwa? Au mdada mwenyewe ni wewe? Halafu hiyo paragraph 1 inatosha kwa mwajiri kukuona we ni mtu serious? Vijana mnajiharibia wenyewe mjue
 
Siku hizi kazi za kutafutiwa? Au mdada mwenyewe ni wewe? Halafu hiyo paragraph 1 inatosha kwa mwajiri kukuona we ni mtu serious? Vijana mnajiharibia wenyewe mjue
Nimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswali ya hivi.
 
Siku hizi kazi za kutafutiwa? Au mdada mwenyewe ni wewe? Halafu hiyo paragraph 1 inatosha kwa mwajiri kukuona we ni mtu serious? Vijana mnajiharibia wenyewe mjue
Nimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswali
WHat if kazi ni adminstrative??
Kama ipo mkuu nicheki PM, nothing cannot be arranged.
 
Nimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswali ya hivi.
Yani mwajiri akupm? Aisee
 
Kuna namba hapo juu kwa mawasiliano, mwajiri anatakiwa afanye nini? Ebu niambie kwa uzoefu wako mwingi.😀
Mwajiri ana watu elfu wanataka kazi na wanamtumia CV na maelezo ya kutosha hawezi kuacha watu wanaomtafuta aende kwenye pm yako kijana jiongeze! Umeona waalimu walioomba kazi na degree zao walivyopanga foleni? Sembuse mwanafunzi amuwekee mwajiri namba na kumuelekeza amtafute pm? Labda awe rocket scientist na ana soko dunia nzima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom