annie baby
Member
- May 4, 2017
- 45
- 25
Mama,msichana ni 7 na ikizidi sana ni miaka 25Habari zenu..natafuta kazi ya bar AMA liquor store..ama grocery...uzoefu ninao....
#MSICHANA
#MIAKA 29
UZOEFU nishawahi fanya katika liquor store.kwa miaka.2...mahesabu nko vzur.pia.uaminifu upo wa kutosha.0763786590
Kwa mfano mtu anataka aanzishe hiyo bishara ya bar kisha akupatie ajira hapo, unamshauri mambo gani muhimu ya kuzingatia kabla hajaanzisha?Habari zenu..natafuta kazi ya bar AMA liquor store..ama grocery...uzoefu ninao....
#MSICHANA
#MIAKA 29
UZOEFU nishawahi fanya katika liquor store.kwa miaka.2...mahesabu nko vzur.pia.uaminifu upo wa kutosha.0763786590
Muhimu ni eneo la biashara..fKwa mfano mtu anataka aanzishe hiyo bishara ya bar kisha akupatie ajira hapo, unamshauri mambo gani muhimu ya kuzingatia kabla hajaanzisha?
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wakoMSICHANA
#MIAKA 29
Hebu zungumza kama mtu mwenye uzoefu alafu tuone inakuwaje , umesema eneo? Eneo liweje, hakuna jambo lingine muhimu zaidi y eneo? Kama lipo ni lipiMuhimu ni eneo la biashara..f
Karibu tusuke mikeka, Ajira rasmi na pekee isiyohitaji vyeti!Habari zenu..natafuta kazi ya bar AMA liquor store..ama grocery...uaminifu upo wa kutosha.0763786590 hata kubet pia anaeweza kunipa odds za uhakika!