bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 144
- 431
Una Cheti cha JKT kwa nini hujaenda Depo Polisi?? wenzako wameripoti Depo CCP juzi tarehe 2!!na pia nimeona Jeshi la Zimamoto nao wametangaza kazi!! anyway Mkwawa mitaa yangu hiyo,nilisoma Ilala Shule ya Msingi,njoo inbox kama unaweza kazi ya Receptionist Lodge lakini ArushaMimi ni Binti wa miaka 21
nina elimu ya kidato cha nne cheti cha jkt na ujasiriamali pia.
Nina ujuzi wa secretary level 2 nipo mkoa wa Iringa mtaa wa mkwawa
Natafuta kazi reception, secretary ,customer care, duka lolote, au chochote kitachoendana na hiki nilichokiandika asanteni ....
Ajira nyingine bwana,eti asiwe ANANYONYESHA
Kongole kwa kutoa fursa ya kujikwamua kiuchumi Mkuu.
Sawa lakini ukiwa kwenye hiki chombo ndoutaelewa why kote nimeomba na nimeanza kutumia maombi toka 2021 tatizo connection ingekuwa sifa inkupa kazi Kila mtu angekuwa kazini mambo magumu nimeomba kwenye vyombo mbalimbali zaidi ya maratisa ndiomaan nimeona nigeukie upnde mwingineUna Cheti cha JKT kwa nini hujaenda Depo Polisi?? wenzako wameripoti Depo CCP juzi tarehe 2!!na pia nimeona Jeshi la Zimamoto nao wametangaza kazi!! anyway Mkwawa mitaa yangu hiyo,nilisoma Ilala Shule ya Msingi,njoo inbox kama unaweza kazi ya Receptionist Lodge lakini Arusha
Sijakuina inbox,JKT ulienda Kwa Mujibu(Form 6) au Kujitolea(Form 4)??karibu inboxSawa lakini ukiwa kwenye hiki chombo ndoutaelewa why kote nimeomba na nimeanza kutumia maombi toka 2021 tatizo connection ingekuwa sifa inkupa kazi Kila mtu angekuwa kazini mambo magumu nimeomba kwenye vyombo mbalimbali zaidi ya maratisa ndiomaan nimeona nigeukie upnde mwingine
Asanteh nkuja inbox
Unataka umuamini mtu mwenye huo muandiko?? Shauri zako binti!!Ndio inawezekn ila nahitaji kujua zaidi
Ningeshangaa sana huu uzi kukosa comment kama hii😂😂Huyo kwenye avatar ndio wewe?
Nitumie namba yako inbox
Tunasaidiana tu. Ngoja atafute huko akikosa atanicheki nimpe mchongo.Ningeshangaa sana huu uzi kukosa comment kama hii😂😂
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:Habarini Mimi ni Binti wa miaka 21.
Nina certificate ya secretary na cheti cha JKT na ujasiriamali naomba natafuta kazi ya reception au kuuza duka lolote la halali.
e kwa kazi ya kufundisha masomo ya secratary huku moshi kilimanjaro 0717157640Mimi ni Binti wa miaka 21
nina elimu ya kidato cha nne cheti cha jkt na ujasiriamali pia.
Nina ujuzi wa secretary level 2 nipo mkoa wa Iringa mtaa wa mkwawa
Natafuta kazi reception, secretary ,customer care, duka lolote, au chochote kitachoendana na hiki nilichokiandika asanteni ....
Hapana badooVipi Rosedory Charles umepatakazi au kazi imekupata..?
Nakutafuta tuongeeVipi Rosedory Charles umepatakazi au kazi imekupata..?