M Memew Member Joined Oct 16, 2020 Posts 16 Reaction score 11 Oct 24, 2022 #1 Habari humu, naombeni mwenye connection ya ajira yoyote kwa Iringa mjini. Ni mama wa nyumbani natamani nitoke nikajishughulishe maisha magumu. Elimu yangu ni Degree
Habari humu, naombeni mwenye connection ya ajira yoyote kwa Iringa mjini. Ni mama wa nyumbani natamani nitoke nikajishughulishe maisha magumu. Elimu yangu ni Degree
The Ideologist JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 502 Reaction score 292 Oct 24, 2022 #2 ushawahi fanya kazi gani?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,645 Reaction score 14,804 Oct 24, 2022 #3 Upo mbali kuna mama anahitaji wanawake wawili wa kufanya kazi kwenye mgahawa
M Memew Member Joined Oct 16, 2020 Posts 16 Reaction score 11 Nov 3, 2022 Thread starter #4 The Ideologist said: ushawahi fanya kazi gani? Click to expand... Sensa