Annah simbeye
Member
- Sep 6, 2021
- 13
- 10
Kuna group moja Facebook linaitwa duka la dawa muhimu wanaposti karibia kila siku nafasi ZA Kaz ingekuw vizur ungeli searchHabarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
East Africa fruits mbona naskia wanalipa vizuriHabarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
Hao core wahuni sana,boss wao mhindi ananyanyasa sana wafanyakazi kingonoFungua pm nakutumia namba kampuni inaitwa Core ipo kariakoo jaribu kumtumia c.v
Sent using Jamii Forums mobile app