Natafuta kazi

Natafuta kazi

ImanuelNS

Member
Joined
Mar 18, 2021
Posts
8
Reaction score
9
Habari zenu wakuu kwa jina naitwa Imanuel Ni kijana Mwenye umri wa miaka 24 muhitimu wa bachelor degree in Economics ( International Economics and trade ) katika chuo kikuu cha Wenzhou inchini China. Nina experience ya kazi ya muda wa miezi 6 katika kite dogo cha marketing kwenye kampuni itwayo Education abroad agency. Nina ujuzi katika Nyanja za Accounts, marketing, business growth/expansion, project planning and execution. Kwa case ya mawasiliano yangu
Number ya simu ni : 0710929486
Email : imanuelngasika@yahoo.com
 
Pole Chief mbombo ngafu, unaweza kukosa hata sehemu ya kujitolea.

Ada umelipa nyingi alaf unakosa hata sehemu ya kujitolea, inauma sana

Sikupigi majungu nakwambia ukweli, bora ungesoma DUCE tu.
Kuna watu wanaitwa TAESA wanazingua kinyama
 
Habari wana Jamii,

Mimi ni kijana wa kiume na Mtanzania nina Degree ya uchumi (International Economics and trade), tokea kwenye chuo fulani China. Nilikuwa kazini kwa almost mwaka miaka miwili hadi November 2021 baada ya kampuni kufunga na kusitisha shughuli zake hivyo kwasasa natafuta kazi.

Tafadhali kama unaajiri ama unafahamu kampuni yoyote yenye uhitaji wa mtu mwenye Degree ya uchumi ama any related fields Nitashukuru sana kama utanihabarisha.

Asante sana uwe na siku njema na yenye mafanikio, yeyote usomae huu uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom