Unajua netti mimi hata jina lake ameliandika kimasihara sana; badala ya kuandika seriously kama Aneth faisonMimson anakuwa sooo simplistic kama hesabu za calculus buaaana!??? 🙂
Jmn samahan kwa ninaemkwaza kwa uandishi wangu huu ...kukosolewa ni kawaida mda mwingine ntaandika kwa uzuri nakugundua makosa yangu lakin nilikuwa naomb mweny nafasi ya kazi anisaidie tu asitazame udhaifu wangu asante
Nipo dar nawez kufanya kazi yoyote ile .pia najua kutumia computer ..vilevile mimi nafundisha history na kiswahil naweza pia fundish civc na hata English ...ntashukur nikipata Nafas