Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Joh_in_tz

New Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Naitwa Joel Richard Chauganga
Ni kijana wa miaka 26 Naishi Mbezi ya Makonde Daressalaam
Elimu yangu ni Chuo nimesomea ustawi wa jamii nina uhitaji wa ajira sana iwe sheli au supermarket au maduka yoyote au kiwanda au usafi maofisini sichagui kazi Bora kipato nitashukuru sana kama nitapata kazi Asanteni
0692061888

IMG_20191010_143652.jpg


IMG_20191020_151350.jpg


IMG_20191010_143636.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom