Natafuta kazi

Natafuta kazi

teelyz

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
45
Reaction score
44
Mimi binti wa miaka 23 natafuta kazi ya kuuza duka,Supermarket,Hotel au mgahawa.

Niko Bagamoyo lakini nipo tayari kufanya kazi popote.

Au hata mdhamini anidhamini mtaji tuelewane tu jamani maisha magumu
 
Mimi binti wa miaka 23 natafuta kazi ya duka,Supermarket,Hotel au mgahawa,Niko Bagamoyo lakini nipo tayari kufanya popote,
Au ata mdhamini anidhamini mtaji tuelewane tu jamani maisha magum
Picha yako ?
 
Tuma picha tuone personality yako kama itafaa katika ofisi yangu
Kwenye uandishi umeweza
Bado sura na tabia
 
Mimi binti wa miaka 23 natafuta kazi ya duka,Supermarket,Hotel au mgahawa,Niko Bagamoyo lakini nipo tayari kufanya popote,
Au ata mdhamini anidhamini mtaji tuelewane tu jamani maisha magum
Hapo line ya mwisho, Haya njoo tuelewane.
 
Mungu akusaidie upate, binti. Usiingie kwenye vishawishi vibaya kwa ajili ya kazi. Mwili wako una thamani kuliko kazi yoyote ile.
 
Upo bagamoyo sehem gani
Mimi binti wa miaka 23 natafuta kazi ya kuuza duka,Supermarket,Hotel au mgahawa.

Niko Bagamoyo lakini nipo tayari kufanya kazi popote.

Au hata mdhamini anidhamini mtaji tuelewane tu jamani maisha magumu
[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom