Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Aug 28, 2019
Posts
20
Reaction score
35
Habari mimi naitwa getrude natafuta kazi ya stationary nina uzoefu nimesomea computer course ninaweza typing,binding,scanning,printing na design card mbalimbali na pia nina certificate in banking and finance kwa yoyote aliyesikia au kuhitaji mtu wa hivyo tuwasiliane ahsanteni 0656804462/0689377158
 
Upo mkoa gan? na je una chura ya kuweza kuvuta wateja??
 
Habari mimi naitwa getrude natafuta kazi ya stationary nina uzoefu nimesomea computer course ninaweza typing,binding,scanning,printing na design card mbalimbali na pia nina certificate in banking and finance kwa yoyote aliyesikia au kuhitaji mtu wa hivyo tuwasiliane ahsanteni 0656804462/0689377158
Kwanini usifungue stationery yako ujiajiri?
Alisikika mlevi 1.
 
nawashukuru kwa tote jimefanikiwa kupata kazi ni mwezi sasa kwenye company natafuta mdada anayejua kupika natalajia kuanza biashara hivi karbuni ahsanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom