AndrewThegent
Member
- May 6, 2013
- 20
- 6
God help you broMimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. 0689870819 Naombeni msaada wenu wanajukwaa
Asante sanaGod help you bro
Nashukuru bro asante sanaPole Sana mkuu ila Kiukweli najua una hali gani ,Muombe Mungu utayasahau tu ni mapito ama unapitia katika moto kama dhahabu inavyopitia katika hali iyo
Amen. Nashukuru awe pia naweMungu awe nawe mkuu!
MeMe au ke?
Kibarua gani unipe mie.Uko wapi nikupe kibarua kama hujivungi...
Kaka njoo PMMimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. 0689870819 Naombeni msaada wenu wanajukwaa
835Umepigia wapi jkt kiongozi...
Asante hiyo ntaacha ipiteUnaweza kazi ya ulinzi silaha yako ikiwa ni kirungu au gobole?
Nipo huku mpakani na Kongo!
Asante hiyo ntaacha ipite
Blaza maliza hii usiifanye big deal. Usitafute recognition kupitia post yangu. U know nothing kuhusu uzalendo.Kumbe bado kozi ya uzalendo ya jakata haijakuingia vzr.
Hapana ni mtazamo tu. Nisingependa kufanya kazi yoyote inayohusiana na maswala ya ulinzi na usalama. Nishajitolea sana huko nilipotoka na nimefanya hizi kazi bila mafanikio ya kuajiriwa nadhani i will pass with this one pia.majibu ya kijeshi haya