NATAFUTA KAZI.

NATAFUTA KAZI.

Frank Bonge

Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Habari wana jf.Mimi ni muhitimu wa kidato cha6 mwenye ufauru w Div3
Natafta kAzi yoyote ile hususa ya ufundi ili niweze kupata ujuzi na kujiAjiri.
Nina umri wA miaka21,Tafadhali kana nitapata msaada huo nitashukuru ndugu zangu(jforum)
 
Nenda kwenye shughuli husika utapata tu ukiomba bora uwe mwaminifu na mtiifu usiwe na tabia mbovu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom