Habari zenu wependwa. Nmehitimu degree ya utawala, natafuta kazi yoyote ile ilimradi iwe halali naombeni mnisaidie jaman au niunganisheni hata na mashirika yanayohitaji wafanyakazi nawaomba jamn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app