Natafuta kazi

Natafuta kazi

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
455
Reaction score
616
me ni kijana nimemaliza Bachelor ya Community Development na masters ya Public Managrment, nipo tayari.kufanya kazi mkoa wowote Tanzania, tusaidiane naamini kila mtu kasaidiwa kufika hapo alipo.
Asante
 
sio kigezo cha kupelekea ww usaidiwe kwa kuwa kila mtu kasaidiwa kufika hapo alipo kazi haiombwi kiivyo.......cha msingi omba kwa unyenyekev mungu atakuongoza utapata
 
bado cjaona kosa langu wap or umeamua tu kutia neno..
 
me ni kijana nimemaliza Bachelor ya Community Development na masters ya Public Managrment, nipo tayari.kufanya kazi mkoa wowote Tanzania, tusaidiane naamini kila mtu kasaidiwa kufika hapo alipo.
Asante
Twende mtwara tukalime korosho maana huku kwwnye kuajiliwa ni hatari sna
 
me ni kijana nimemaliza Bachelor ya Community Development na masters ya Public Managrment, nipo tayari.kufanya kazi mkoa wowote Tanzania, tusaidiane naamini kila mtu kasaidiwa kufika hapo alipo.
Asante
Unaweza kujiajiri kama freelancer ambayo in my opinion ina hela kuliko kuajiriwa. Cheki huu mtandao wa kujiajiri www.ajiras.com

Cheki hii link imeongelea ajiras kwa undani
www.jamiiforums.com/threads/fursa-kama-unafanya-ishu-hizi-unahitajika-kwa-hali-na-mali.1503483/

Ukikwama na unahitaji details zaidi nicheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom