Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 418
.
AsanteNakutakia heri dada waje huko Pm. Hii nchi bwana, Watu wana Shahada- wamesota na kusoma weeee ila upatikanaji wa kazi bado ni mgumu.
Naku-pm kama uko smart I will show you how we can join effort kutoboa and good thing im in Arsh too, kacheki pmAsante
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, naishi Arusha, ni mhitimu wa shahada ya Public Relations and Marketing.
Najitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya kazi yoyote inayo husiana moja kwa moja na Public Relations au na Marketing katika shirika, taasisi mbalimbali na makampuni binafsi.
Uzoefu nilionao ni kuwa nimewahi kuwa customer service . Mbali na kuwahi kuwa customer service ninao uwezo wa kufanya kazi zifuatazo :
Any activity concerning marketing, Event planning, preparing project proposal & project planning, speech writing, news writing and adverts designing.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ndani ya Tanzania.
Kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye sifa nilizonazo anaweza nifuata PM kwa mawasiliano zaidi.
Asanteni.
Kwa hapa hakuna kinachoshindikana na unaonekana kazi unaweza,Mungu ni mwema!Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, naishi Arusha, ni mhitimu wa shahada ya Public Relations and Marketing.