Natafuta Kazi.

Natafuta Kazi.

mwanajamii00

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
6
Reaction score
11
Habari Zenu Wana Jamii Forum.

Jinsia Yangu ni KE, Umri 23, Naishi Dar es salaam. Elimu Yangu Ni Chuo kwa ngazi ya cheti katika nyanja ya ugavi na usafirishaji. Kulingana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kuendelea na chuo kwasasa, ivo natafuta Kazi kujitengenezea kipato cha kujikimu.

Nimefanya kazi katika kampuni mbili tofauti kwa wakati tofauti ivo nina ujuzi mzuri wa kutumia computer kwa upande wa Microsoft Word na Excel. Pia naweza vyema kukaimu nafasi ya afisa mauzo, muhudumu wa ofisi na huduma kwa wateja katika kampuni husika.
Ninaweza kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kingereza vizuri.

Ninaweza kufanya kazi ofisini, hotelini, kwenye supermarkets, na sehemu zingine zozote kulingana na elimu na uelewa wangu. Pia ni mwepesi sana kujifunza iwapo kitu ni kigeni kulingana na mazingira.

Unaweza kunitumia PM.

Natanguliza shukurani.
Asanteni.
 
usingeweka namba hapo....utasumbuliwa sana na matapeli na walaghai....kisa mdada, utapewa na appointment za uongo.....weekness ya ajira wataitumia vyema ! ingekuwa vyema ufatwe pm then mpeane contacts huko huko.......

anyways....goodluck, umeelezea vyema sana
 
Asante, nimetoa
 
Umejieleza vizuri sana. Japo Mchumba hasomeshwi kakini nalazimika kukurudisha shule
 
Habari Zenu Wana Jamii Forum.

Jinsia Yangu ni KE, Umri 23, Naishi Dar es salaam. Elimu Yangu Ni Chuo kwa ngazi ya cheti katika nyanja ya ugavi na usafirishaji. Kulingana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kuendelea na chuo kwasasa, ivo natafuta Kazi kujitengenezea kipato cha kujikimu.

Nimefanya kazi katika kampuni mbili tofauti kwa wakati tofauti ivo nina ujuzi mzuri wa kutumia computer kwa upande wa Microsoft Word na Excel. Pia naweza vyema kukaimu nafasi ya afisa mauzo, muhudumu wa ofisi na huduma kwa wateja katika kampuni husika.
Ninaweza kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kingereza vizuri.

Ninaweza kufanya kazi ofisini, hotelini, kwenye supermarkets, na sehemu zingine zozote kulingana na elimu na uelewa wangu. Pia ni mwepesi sana kujifunza iwapo kitu ni kigeni kulingana na mazingira.

Unaweza kunitumia PM.

Natanguliza shukurani.
Asanteni.
Upo tayari kurudi darasani kusoma?
 
Anahitajika dada wa kazi za ndani dar, Mwenye umri kuanzia 18-22, anayejitambua na mwaminifu. mazingira ni mazuri na yakuvutia

atutafute kwa namba 0717267636
 
Back
Top Bottom