Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Oct 10, 2017
Posts
7
Reaction score
3
Naitwa Musa. Elimu yangu ni Diploma ya usafiriahaji wa reli kutoka chuo cha reli Tabora. Nimehitimu mwezi wa nane mwishoni. Natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji na utunzaji wa mizigo.
Mbali na masuala ya reli nina ujuzi kwenye masuala ya:
Usimamizi wa warehouse
Usimamizi wa mizigo inayoingia na kutoka
Huduma kwa wateja
Najua kutumia kompyuta vzr
Masuala ya reservation na ticketing (booking) na
Ni mwepesi kujifunza
Nina uzoefu wa miaka mitano (5) kwani nimewahi kuajiliwa kama store keeper kwenye kampuni ya ujenzi ya nandhra eng and construction company ltd 2012-2016.
Yeyote anaehitaji huduma yangu napatikana kwa namba 0769685566
Email. musamukama2007@gmail.com
 
Mungu akupatie hitaji la moyo wako. Kila la heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom