Malica husna
Member
- Jun 30, 2018
- 31
- 20
weka picha yako Husna.
Mkuu picha yangu hiyo hapo kwe profile languweka picha yako Husna.
😂😂😂Njoo Kitunda umuone.
Awali ulihudumu wapi?
Nilikuwa nafanya kazi ya kusimamia duka lina husika na mbao miti, mabati, misumari, nk niseme ni duka kubwa sana ambalo nilikuwa nasimamia wafanyakazi watano mimi nilikuwa ndio manager I hope umenielewa mkuuAwali ulihudumu wapi?
Nilikuwa nafanya kazi ya kusimamia duka lina husika na mbao miti, mabati, misumari, nk niseme ni duka kubwa sana ambalo nilikuwa nasimamia wafanyakazi watano mimi nilikuwa ndio manager I hope umenielewa mkuu
Nilikuwa nafanya kazi hiyo pia kuna dada mmoja alikuwa anauza mashela ya harusi hivyo alikuwa akitafuta wateja basi nilikuwa nikimtafutia wateja online then wakinunua ananilipa changu kama tulivyokuwa tukikubaliana mkuuOoh sawa, uzoefu kama huu usiwe unaacha kuambatasha pale unapotafuta kazi, waajiri wengi siku hizi wanataka kufahamu uzoefu wa mtu kabla hawajampa mkataba/ajira.
Mbali na hayo hakuna shughuli nyingine umewahi kufanya?
Kumbe una uzoefu hadi kwenye mauzo ya Online, nadhani umejipambanua vyema.Nilikuwa nafanya kazi hiyo pia kuna dada mmoja alikuwa anauza mashela ya harusi hivyo alikuwa akitafuta wateja basi nilikuwa nikimtafutia wateja online then wakinunua ananilipa changu kama tulivyokuwa tukikubaliana mkuu
Ndio hayo mkuuKumbe una uzoefu hadi kwenye mauzo ya Online, nadhani umejipambanua vyema.
Asante mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kaziKwa michango ya wachache niliyoiona na maelezo yako #Malica Husna, naomba nikushauri kuwa huu ni wakati mwafaka kwako kuwa na biashara zako hata ukianza na mtaji mdogo utafika. Wanaofanikiwa hawaanzi na mtaji mkubwa. Kazi za kuajiriwa zinalemaza sana. Na ni wachache sana waliowahi kufanikiwa kwa kuajiriwa. Tafakari
Thank you dearI like your confidence Husna. Your attitude too. You are awesome.
Pls PM for more talks. My PM is limited unless I log in through browser.
Thanks
Sawa mkuuNitumie Namba yako pm then takucheki hapo kitunda.
Asante kwa ushauri mkuuWengine hawatakupa kazi bidada kuwa makini.. Mmbwa mwitu wenye ngozi za kondoo wengi humu jf