Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 20.
Elimu yangu ni kidato cha NNE
Najua kuongea kingreza na kiswahili fasaha.
Natafuta kazi yoyote ile ..ufugaji wa kuku,kilimo cha bustani.kuuza duka,biashara za minada .kuuza cups na n.k
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
Nipo mbeya ndipo napoishi
Nina uzoefu wa kutosha katika kazi ziliziorodheshwa apo juu
Matumain yangu yapo kwenu wana jf asanteni