Natafuta kazi.

Natafuta kazi.

Joined
Sep 27, 2015
Posts
78
Reaction score
19
Natumaini wazima Wa afya njema wanabodi, kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi, Elimu yangu ni ngazi ya cheti cha biashara na utawala ( Certificate of business and administration) pia Nina uzoefu wa kazi mbalimbali kama kuuza kwenye vituo vya mafuta, dukani, m- pesa pia ni muelimishaji wa jamii kuhusu maswala ya vicoba kama kuna taasisi inayoitaji mtu wa kutoa Huduma hii basi nipo tayari kwa mwanye msaada naomba uni pm.
 
kama unauwezo wa kuelimisha jamii kwa nini ushindwe kujielimisha wewe mwenyewe ili upate mpunga/mapene..😱😱
 
Back
Top Bottom