Pole dada angu,kazi hizo mshahara wake wa kufikia ni elf 40, kwanini usiombe tu hiyo elf 40, uanze kuuza kuni mtaani kwako,unalangua soko kuu kwa mzigo,then unauza rejareja mtaani kwako

Habari zenu wana-JF mimi binti wa miaka 24 natafuta kazi za usafi,Kuuza dukani na nyingine yoyote halali.
Kama ukinihitaji kufanya kazi yako Tafadhali Ni Pm

Kipindi cha mavuno Minoan kimekaribia unaweza ukapiga Kaz Yangu ngumj ukapata MTAJI wa kuuza hata nyanya au nguo za watoto kwenye minada maana WAKULIMA SOON WANAKUWA NA PESA
UPO MKOA GANI NIKULENGESHE KWENYE KAZ NGUMU ZA KIKE,kuvuna maharage kuvuna viazi,kuvuna karaga nk