Miss Precious
Member
- May 1, 2017
- 46
- 77
Habari,
Ninaishi Dar, nina umri wa miaka 23, jinsia KE, nina elimu ya chuo kwa ngazi ya Diploma Ya Ugavi Na Usafirishaji. Kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu kuendelea na chuo kwasasa. Nimeshawahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Telecommunication, [sikuwa na elimu iyo bali nilijifunza nikiwa kazini na kufanya kazi nzuri ndani ya mkataba wangu]…
Mbali na elimu iyo ya chuo nilionayo,
-Nina uwezo wa kuongea kingereza vizuri.
-Nina uwezo wa kuandaa vyakula mbali mbali vizuri na vyenye ladha tamu.
-Nina uwezo wa kusimamia duka au biashara kwa msaada wa ninaowakuta.
-Nina uwezo wa kufanya hesabu ya mapato na hasara katika biashara.
-Ni mwepesi kujifunza na kukabiliana na mazingira mapya ninayoyakuta.
-Ni mkweli na nathamini kazi au chanzo cha kipato cha mtu kama changu.
Nimejitokeza mbele yenu nikiamini humu kuna mchanganyiko wa watu wengi, na ni watu wengi na tofauti tofauti watakaosoma hapa,
Nipo tayari kufanya kazi katika Stationary, Duka La vyakula mchanganyiko au Urembo. Hotelini, Supermarket, kwenye Kampuni Ya Procurement au sehemu yeyote itakayopatikana nitashukuru.
Pm yangu ipo wazi kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira kwa ajili yangu.
Natanguliza Shukrani na Kutegemea Ombi Langu Litasikika kupitia Hapa.
ASANTENI.