Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Jul 29, 2015
Posts
10
Reaction score
2
Habari ndugu zanguni
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32 natafuta ajira yeyote ile ninaishi Dar es Salaam,elimu yangu ni kidato cha sita na nilikuwa nafanya kazi na hizi kampuni za utafuti wa masoko.
Ninawaomba wandungu kama kuna mtu anahitaji mfanyakazi yeyote wa shughuli yeyote ambayo ni halali kufanywa naomba aje PM kwa mawasiliano zaidi nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule,kwani kwa kazi yangu nimetembea karibia mikoa yote hapa nchini
Nawatakia siku njema
 
Back
Top Bottom