Angela kombe
Member
- Dec 26, 2017
- 5
- 2
Uko wapi?Naitwa Angela paschal,natafuta kazi yeyote ile,elimu yangu ni ya kidato cha sita,
Maelezo yako hayajitoshelezi,jieleze vizuri naamini unaweza kusaidiwa kama ni kirudi shule ama kazi halali ama mtaji.Ila kwa maelezo yako please kuwa makini na social networks unaweza kuja chezewa ukabwagwa.Naitwa Angela paschal,natafuta kazi yeyote ile,elimu yangu ni ya kidato cha sita,
Kama zipi?Hakuna mtu duniani anayeweza kazi yoyote!!!Naitwa Angela paschal,natafuta kazi yeyote ile,elimu yangu ni ya kidato cha sita,
Mkuu kuna mda maisha yanapiga mpaka unataman ufanye kazi inayoitwa yoyote ilimrad kipato kiingieKama zipi?Hakuna mtu duniani anayeweza kazi yoyote!!!
Niko arushaUko wapi?
Naishi arusha na kazi yeyote ilmradi isiwe bar au kazi za ndaniKazi ipi unaiweza? Na unaishi wapi?
OK sema mm sipo huko arusha ila kazi zipoNiko arusha
Kuna kazi zingine ni hatari!!!Ndyo maana si vizuri kuwa tayari kwa kazi yoyote ileeeeeMkuu kuna mda maisha yanapiga mpaka unataman ufanye kazi inayoitwa yoyote ilimrad kipato kiingie
Asante kwa ushauri wakoMe nakushauri nenda shamba ukalime...nayo ni kazi