weka pichaNina degree ya procurement and logistics management, nshasagiliwa na Bodi ya manunuz na saiz naendelea kufanya mtihan yao na nipo stage five. Msaada
weka pchaKwa anayehitaji mdada wa reception anaejua computer vizuri na mambo ya recordings amesomea biashara yupo hapa dar au popote penye hitaji km hilo yupo tyr kwa 0788997980- 0714400414 na amekuwa operatio manager ktk petrol stations kwa zaidi ya miaka mitatu