Natafuta kazi

Natafuta kazi

Paul Kimba

New Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Natafuta kazi kufundisha katika shule yoyote nimemaliza chuo cha ualimu wa shule ya msingi
 
ushauri wangu wa bure kwako:
  • nenda kapeleke application letter (barua ya kuomba kazi) katika shule tofauti zilizopo mji unaoishi. Maana sidhani kama kuna headmasters wanaingia humu JF kusajili walimu.
  • Kama hukubahatika kupata, basi jaribu kuomba ajira za serikalini.
  • kama pia hukubahatika kupata, basi anzisha hata ka tuisheni kako uwe unawafundisha.
  • kama pia unaona haitalipa au itakua ngumu kwako, basi jaribu kuangaza fursa nyingine nje ya ualimu.
 
Back
Top Bottom