Natafuta kazi

Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu ya miaka mitatu kwenye magari na mitambo pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)

Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali

Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
 
Je, unaweza kuendesha pikipiki?
 
Kuna kazi ipo sharti ujue kuchuma mboga
Wenzio wanashida kweli unaketa masihara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…