Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Yoyote halali mkuun kaz yoyote au n moja wapo kat ya hzo ulizo orozesha
Asante sanaKila la kheri mheshimiwa,utafanikiwa!
I hope ingekuwa vema zaidi,endapo ungeweka namba za simu.kwa ajili ya mawasiliano.Salaam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha Sita, umri nina miaka 25 .Nahitaji kazi yoyote halali nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) , buchani, n.k naishi Dar.
Kwa mwenye msaada ,njoo pm tuwasiliane
Asanteni
Jaribun kuwa na kauli nzur. Sio vzur majib kama hayoo.kuelewa umeelewa ila kibur tu..Unahitaji au unaomba kazi?
Unatafuta kazi! Umeambiwa imepotea au
Nko na kauli nzuri siku zote!Jaribun kuwa na kauli nzur. Sio vzur majib kama hayoo.kuelewa umeelewa ila kibur tu..
Asante mkuuNi busara kuwa na busara.
Mungu akusaidie mkuu katika utafutaji wako kazi, usije ukakatishwa tamaa na watu wenye dharau na kejeli
Pamoja sanaAsante mkuu
Njoo pm mkuuSalaam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha Sita, umri nina miaka 25 .Nahitaji kazi yoyote halali nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) , buchani, n.k naishi Dar.
Kwa mwenye msaada ,njoo pm tuwasiliane
Asanteni
Njoo pmNipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu kidato cha 6, pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)
Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali
Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu kidato cha 6, pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)
Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali
Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
Iyo mboga anaweza kuchuma dada ako???????Kuna kazi ipo sharti ujue kuchuma mboga