Natafuta kazi

Natafuta kazi

masanjuo

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
200
Reaction score
340
Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza shahada ya ualimu nimebobea kwenye kiswahili na history. Natafuta kazi yeyote ile ili nijiingizie kipatata kazi ya kufundisha, supermakert, kuuza duka, secretary, viwandani kuwa kama vibarua na nyingnezo nitafurahi endapo nitapata, asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi n bint wa miak 24 nimemaliz shahada ya ualimu nmebobea kweny kisw na history natafuta kazi yyt ile ili nijiingizie kipat ata kaz ya kufundisha ,supermakert,kuuza duk,secretar,viwandani kuwa kama vbarua na nyingnezo ntafurah endapo ntapata asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
polee dadaa, nakuombea mafanikio mema naamn utapata.
 
Mimi n bint wa miak 24 nimemaliz shahada ya ualimu nmebobea kweny kisw na history natafuta kazi yyt ile ili nijiingizie kipat ata kaz ya kufundisha ,supermakert,kuuza duk,secretar,viwandani kuwa kama vbarua na nyingnezo ntafurah endapo ntapata asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
04d763396a39564a972ddb1ae0a672bb.jpg

Usikate tamaana,maana hujaweka ubaguz wa kazi,maana wenzetu husema kataa mshahara udikatae kazi,Mungu mbele ccta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza shahada ya ualimu nimebobea kwenye kiswahili na history. Natafuta kazi yeyote ile ili nijiingizie kipatata kazi ya kufundisha, supermakert, kuuza duka, secretary, viwandani kuwa kama vibarua na nyingnezo nitafurahi endapo nitapata, asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom