Habar wakuu wa JF
Mim ni msichana wa miaka 24 naishi DSM Nina fani ya ukutubi ( librarian) ngazi ya cheti.
1. Ninauzoefu na fani niliyosomea kwa miaka miwili.
2. Ninauzoefu na kazi za stationary and secretarial services pia ninauzoefu Wa kufanya utafiti kwa mwaka mmoja.
3. Ninauzoefu na kazi ya E-Money, CRDB na NMB wakala pia . Hizo ni baadhi ya kazi ambazo nina uzoefu nazo.
Kwa mawasiliano ni PM
Sent using Jamii Forums mobile app