Natafuta kazi

Natafuta kazi

Hello JF
Natafuta kazi, nina elimu ya certificate in business administration nimefanya kazi ya sales kwenye kampuni mbili fluent in english and swahili, nipo Dar es salaam.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu akutangulie katika hitaji lako ila pia tembelea website kama "Zoom Tanzania" wanaweka nafasi za kazi mbalimbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom