mbena yero
Member
- Jan 13, 2017
- 53
- 21
Hakuna mashamba huko kwenu?? Lima KijanaHabari za muda huu, mimi ni mwanaume umri wangu miaka 25, mkazi wa mkoa wa Iringa Elimu yangu ni kidato cha nne,, natafuta kazi yeyote ile ambayo ni halali itakayoweza kuniwezesha kupata kipato kwaajili ya kujikwamua kimaisha, Asanteni.
Watu mnakalili vibaya. Et mtu kama hana kazi basi akalime! Huo mtaji wa kilimo angekuanao sizani kama angetafuta kazi.[emoji40] nlijaribu tu kuwaza loudlyHakuna mashamba huko kwenu?? Lima Kijana
Ni sahihi kaka ulilo sema ila siku zote binadamu hatufanani.Watu mnakalili vibaya. Et mtu kama hana kazi basi akalime! Huo mtaji wa kilimo angekuanao sizani kama angetafuta kazi.[emoji40] nlijaribu tu kuwaza loudly
Ni sahihi nduguAcheni ujinga kama mnania ya kumsaidia mtu msaidieni sio kumsema sema
Hapana ndugu niwe mkweli hiyo siwezikutembeza mabeseni unaweza!
Sasa unataka kazi gani ya kukukaa Ofisini? wewe umesema kazi yoyote sasa unauliwa kutembeza mabesenu huwezi tena. Dogo kwa elimu yako usifikirie skilled jobHapana ndugu niwe mkweli hiyo siwezi
Nipo Iringa mjni FrelimoIringa upo sehemu gan
Itategemeana na kazi husika ndugu.Unataka mshahara kiasi gani?
Nashukuru kwa ushauriSasa unataka kazi gani ya kukukaa Ofisini? wewe umesema kazi yoyote sasa unauliwa kutembeza mabesenu huwezi tena. Dogo kwa elimu yako usifikirie skilled job
Mpe kazi kwanza ndio uulizie mshaharaUnataka mshahara kiasi gani?