samweli2014
Member
- Jun 9, 2017
- 5
- 3
Mimi nikijana wa kiume, Nina degree ya Adult Education and Community Development. Ninaombeni msahada kwa yoyote mwenye nafasi ya Kazi inayo endena na fani hii. Natanguliza shukrani.
Nilikua na Kazi mkuu mkataba unaisha tarehe 30/06/2017.Upo mkoa gani?
Una miaka mingapi?
Mawasiliano?
Umemaliza masomo mwaka gani?
Chuo gani?
Kazi gani walau mbili ungependa zaidi?
(Maswali ya ziada)
Je umejiunga jamii forums kwa ajili ya shida tu au ?
Rejea
Mwanamke mwema popote ulipo.
Kwanini ulikuwa unatafuta mke huna hata Kazi?
Mbona unajifanya unajua kila kitu, kwani Mimi naonyesha uandishi au natafuta Kazi kama kitu hakikuusu sio lazima uandike pumba zakosiyo kwa uandishi huo aseh
ama useme we mwanafunzi wa udom mnashida sanaNilikua na Kazi mkuu mkataba unaisha tarehe 30/06/2017.