ili umshawishi mtu kukupatia kazi basi andika vizuri ombi lako.Habari zenu wana jammii forum mimi nina diploma ya business administration hivo nilikuwa nahitaji nafasi ya kazi kama itapatikana kutokana na coz niliosoma
Mkuu elezea vizuri hii kaziUnaweza Fanya kazi polini ambako hakuna umeme wala mtandao ila ulinzi upo kwenda mjini mpaka weekend
Ndo hiyo kazi ya kusimamia miladi ya biashara ila iko polini anahitajika msimamizi .Mkuu elezea vizuri hii kazi
Mkoa gani na malipo yapoje mkuu...Ndo hiyo kazi ya kusimamia miladi ya biashara ila iko polini anahitajika msimamizi .
Ni kilimo cha kisasa pamoja na ufugaji pia kuna kiwanda cha maziwa na soya
miak 24Una umri gan?