Natafuta Kazi

kinyaa

Senior Member
Jan 30, 2014
155
90
Mimi ni muhitimu wa degree ya environment miaka minne iliyopita .

Nina experience mbali mbali nimeshafanya Kazi bank ,nimeshafanya Kazi kwenye network company,nimefanya kazi katika research company.

Nikabahatika kufanya Kazi katika firm ya consultant km environmentalist ,Nina experience na mambo ya mazingira katika miradi mbali mbali yaani ya barabara ,madaraja,majengo,reli na airport.

Kwa sasa natafuta Kazi kwenye sekta yoyote ile ata za short term iwe research au kufanya consultation service au kumwandikia mtu proposal au research mimi ni mchapa Kazi mzuri mno najua wajibu wangu na si mtu wa kusukumwa .


Thanks in advance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom