salukhan027
Member
- Feb 27, 2017
- 11
- 0
Mimi Ahmad salim Niko Dar es salaam ni kijana wa miaka 25 mwaminifu elimu kidato cha 4 natafuta nafasi ya kazi iwe ya usafi ofisini, Bustani Nyumbani, Getini nyumbani, kuuza Duka, Cafe au Restaurant popote pale naweza fanya kazi msaada wenu naomba msaaada mawasiliano yangu 0629203747,0652256859