Natafuta kazi

winniefrancis

Member
Feb 27, 2017
7
3
Naitwa wifrida francis.. Ni mwanafunzi wa chuo. Natafuta kazi yoyote ya kufanya mida wa jioni. Kuanzia saa kumi na moja jioni na kuendelea. Nina umri wa miaka 22.naishi Dar namba yangu ya simu ni 0753617299
 
Heeh una nia njema ila sasa utakavyobezwa humu mpaka huruma ....ukihitaji field baada ya chuo nitafute ....
 
IFM

Banking &.........

ukimchimba sana module anazosoma ndo utajua

ametumia ifm kama kichaka cha kujificha
 
Am sorry... Kama umekereka na post yangu. Lakini ninachofahamu ni kwamba hunifahamu wala sikufahamu kwa hiyo ingependeza zaidi kama ukiacha hayo mambo ya wewe kumfikiria mtu upendavyo, akati humfahamu.

Nini maana ya jamii forum? Na nn maana ya hii section?

Ukiona mtu alichopost hakikuhusu wala kukugusa kwa namna yoyote y comment negative? Akati mtu kaomba msaada?
 
quote na hiyo nyingne basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom