Natafuta kazi

Natafuta kazi

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
637
Reaction score
580
Elimu: Kidato ch nne
Umri: 25
Jinsia: mwanaume
Mawasiliano: +255Rkuiux1bd
Ujuzi
: Advance Computer,Mobile Rapair,Computer repair,Biashara.
Uzoefu: 1year Kibaru kusaidia fundi ujenzi.
6month Kusafirisha magendo kutoka kenya to tanzania.
1 kuunganisha funiture.
2 Electonics

Cerficate: Basic Computer & Maintenance Course,secondary education
Working Time: 15hour per day.
Mambo mabaya niliyowai fanya: Kucheza na TRA wapunguze kodi ya mapato.
Kudangaya benk ili watoe mkopo kwa taarifa za hesabu batili na bidhaa hewa.
Mambo ambayo hata iweje ntatenda haki: Kudhulumu sitaki.
kuiba..tamaa.unyanyasaji.
Mambo Ninayoyachukia: Dharau ,uhuni
Mambo ambayo siwezi yafanya hata kama nayajua: Kufanya jambo ambalo linaleta madhara kwa mwingine.,ukinidharau kuhusu jambo fulani sitalifanya kwako hata kama nalijua ntafanya kwa wengine
 
kazi ntapata kulingana na uzoefu wangu,na pale mtu atapoona nafit
 
Back
Top Bottom