Natafuta kazi

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Geography, Civics na Kiswahili. Napenda kufanya kazi private kwa mkataba mrefu. Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi popote Tz. Napatikana kwa 0754004189. Kwa malipo yoyote nipo tayari pia.
 
Kwa nini uweke academic certificates zako kama dhamana? Jiamini kwanza
 
Kwa nini uweke academic certificates zako kama dhamana? Jiamini kwanza
 
Hiyo inakuwa alternative kwa baadhi ya waajiri kwa ajiri ya kulinda mkataba. Sio lazima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…