Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Mbiz112

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
8
Reaction score
5
Mimi ni kijana ambaye nimemaliza diploma ya elimu ya mafunzo ya uvuvi mwaka 2014. Natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na fani yangu pia nina uelewa mzuri wa kutumia Computer kama window installation, Program installation, Microsoft Office kama vile Word, Excel na Power Point. Kwa mawasiliano zaidi 0719008082
 
Back
Top Bottom