Natafuta kazi

Natafuta kazi

ester mongi

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Natafuta kazi iwe ya stationary secretary viwanda super market tigo pesa mpesa npo dar kibamba elimu nina certificate ya clearing
 
Mzee watu wanapo omba msaada wa ajira wana maanisha hivyo kama huna msaada ni bora kupiga kimya kuliko kuuliza na kaa kimya na upo online... dharau sio nzuri kwa vijana wenu
Utaweza ishi Moro vjjini afu mshahara utalizka.
 
Orodhesha Mshahara kama ni 20,000/- kwa mwezi
kula kulala una jitegemea
kulima mazao kama ni mpunga nk
hekta labda 10
shamba lipo morogoro vijijini, kata na kijiji pia
kuna huduma za kijamii kama afya, elimu, maji
miundombinu pia barabara nk
usafiji ni uhakika masaa 24

[HASHTAG]#una[/HASHTAG] ishia kimya kimya mzee.....
 
Mzee watu wanapo omba msaada wa ajira wana maanisha hivyo kama huna msaada ni bora kupiga kimya kuliko kuuliza na kaa kimya na upo online... dharau sio nzuri kwa vijana wenu
Kwel ndugu wengine wanadharau sana
 
Natafuta kazi iwe ya stationary secretary viwanda super market tigo pesa mpesa npo dar kibamba elimu nina certificate ya clearing

Kama hujapata kazi, kuna nafasi ya kazi kiwandani nitakuunganisha, ni kazi ya kupanga bidhaa, wanalipa kwa siku kati ya 5000 - 7000. Na fursa hii ni kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 18 -35. Sifa ni Uwe na afya njema. Akili timamu na nguvu. Hakuna haja ya vyeti vya kuhitimu.
Tuwasiliane kwa kutuma neno 'KAZI KIWANDANI' kwenda namba 0786187408. Au nipigie moja kwa moja.
Karibu
 
Ngoja nikutafute mkuu mimi ni muhanga wa ajira....
 
kumbe na wewe chilla unalia lia ata kazi huna jf buana
Siwezi lia Mzee... kazi ni muhimu kwa binadamu kama ilivyo elezwa katika vitabu vya Dini... nakushanga kwa kushangaa
 
pale juuu ulivoelezea m nikajua unataka kumpa kaz ester
 
sikutoa ahadi ya kazi kama ulisoma na kuelewa na ndio maana na yeye alielewa kwa mujibu wa comment yake... kuna watu humu huwa wanajitokeza kwa kujinadi kumpa mtu ajira lakini mwisho wa siku kimya nime fuatilia hadi kwa walio ahidiwa ajira kama wamepata lakini hamna kitu wanazungushwa mara hawajibiwi hivyo yani... ndio maana nilivyo ona hii post na Ndg. yangu aka ahidi kutoa msaada lakini amekimbia bila majibu stahiki wakati mtu yupo serious ndio maana amejitokeza hadharani....

kwangu mimi sio kitu kizuri, bora husitoe ahadi kama huwezi kuitimiza maana wengine wenye nia wanaweza ona tayari mtu amesha saidiwa kumbe bado na una sababish kumkosesha mtu ajira kwa vitu vya ajabu tu...

na kuna dhana ya watu kubagua kazi ndio maana kuna wengine wana toa visingizio kwamba kazi ya shamba kijiji fulani utaweza ukisema siwezi ana kuja na wengine wanakuja utafikiri walikuwa wana malengo ya kusaidia, watakunanga unachagua kazi, kwanni usijiajiri, nk
 
100% umesahau na wale wa PM mabingwa wa utapel
 
Maeneo gani Bosi na sifa ni zipi?

Nawewe acha uvivu wa kusoma maelezo mkuu katoa details zote huko juu bado unauliza watu kama ninyi ndio maana muda mwingine watu wanashindwa kutupatia misaada yaani wasumbufu wakati mkuu kajitahidi kuelezea hapo kusoma tatizo je utaweza hizo kazi ndugu yangu?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom